SERIKALI YA TANZANIA YAANIKA SABABU YA KUWA NA SIMBA WENGI DUNIANI, NCHINI MAREKANI
Na Mwandishi Maalum, Las Vegas,Marekani. RAIS wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven Lindqueast ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye nusu ya simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii unaoendelea kufanyika nchini hapa. Rais huyo Bw. Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo ameipongeza kwa juhudi za utunzaji na
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed